Elimu ya Haki na Sheria kwa Kila Mtanzania
Uliza Swali la Kisheria au Katiba kwa SMS Bure
Njia Kuu ya SMS (Bila Intaneti)
15054
Tuma neno HURU ikifuatiwa na swali yako kwenda 15054
Mfano: HURU haki zangu ni zipi nikikamatwa na polisi?